Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Viongozi
Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi
Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama vya
Ushirika kutoka Mikoa inayolima Kahawa . Kikao hicho kulifanyika kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na
Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika,
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama
vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima Kahawa. Kikao hicho kulifanyika
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19,
2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,
Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni
Waziri wa Kilimo , Dkt. Charles Tizeba.
Baadhi ya washiriki wa kakao cha Viongozi Wakuu wa Wizara ya
Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa,
Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama vya Ushirika kutoka Mikoa
inayolima pamba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini
Dodoma, Mei 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment