Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB unaofanyika katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki hiyo jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, akimpongeza Dk. Kimei baada ya mada katika Mkurano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa benki hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, akizungumza katika Mkutano wa 23 wa Wanahisa wa Benki hiyo uliofanyika Arusha.
Baadhi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajohn, akiongoza mkutano huo.
Baadhi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakifuatilia mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementine Kinabo (kulia), akifuatilia mada katika mkutano huo.
Jaji mstaafu akichangia mada katika mkutano huo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akifuatilia mkutano wa Wanahisa.
Wanahisa wakiwa katika mkutano.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga, akifuatilia mkutano huo.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Esther Kitoka, akifuatilia mkutano huo.
Mwanahisa akiuliza swali.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Juliana Mhimbira (kulia), akifuatilia mkutano huo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tabora, Chibby Chibby (wa pili kulia), akiwa na Meneja wa Tawi la CRDB tawi la Kasulu, Paul Chacha (wa tatu kulia), wakiwa katika mkutano huo.
Mwanahisa, Salim Mbonde akisoma kwa makini taarifa za benki hiyo.
Wanahisa wakifuatilia kwa makini taarifa za benki hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Ally Laay (katikati).
Mwanahisa akiuliza swali.
Mwanahisa Salim Mbonde, akichangia mada katika mkutano huo.
Mwanahisa akiuliza swali.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, akifuatilia taarifa za mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Mwanahisa akichangia mada.
Baadhi ya Wakurugenzi na Wajumbe wa Bodi wakifuatilia mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Ally Laay.
Mkugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshakanabo, akiwa katika mkutano huo.

No comments:
Post a Comment