Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania
nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda kwenye Makazi ya
Waziri Mkuu Oysterbay jijini Dar es Salaam kuaga, Mei 23, 2018.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini
Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda kwenye Makazi ya Waziri
Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam kuaga.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi
Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao kwenye Makazi ya Waziri Mkuu,
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi
Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao kwenye Makazi ya Waziri Mkuu,
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment