Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Mil.100, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi, kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa jengo la wagonjwa wa moyo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa CRDB, Philip Alfred, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Tulizo Shemu na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa. (Picha na Francis Dande).

No comments:
Post a Comment