Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,
Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe Jenista Mhagama (wa pili kushoto) akiwa
ameandamana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Bilinith Mahenge (kushoto), Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof Faustin Kamuzora (wa pili kulia),
Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dk Leonard
Maboko (kulia) wakijadili jambo wakati wa ukaguzi wa maandalizi ya uzinduzi wa
Kampeni ya Kitaifa ya Kupima VVU na kuanza kutumia dawa mapema inayojulikana
kama Furaha Yangu. Kampeni hiyo
inatarajiwa kuzinduliwa rasmi leo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika
viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,
Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe Jenista Mhagama (wa pili kulia) akipokea
maelezo kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Kupima VVU na
kuanza kutumia dawa mapema inayojulikana kama Furaha Yangu wakati alipotembelea
uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ambapo kampeni
hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi leo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,
Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe Jenista Mhagama (wa kwanza kulia)
akikagua mabanda ambayo yatatumiwa na wananchi kupima VVU katika Kampeni ya Kitaifa ya Kupima VVU na
kuanza kutumia dawa mapema inayojulikana kama Furaha Yangu. Kampeni hiyo inatarajiwa kuzinduliwa leo na
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Mhe
Mhagama alikuwa ameandamana na kamati ya maadalizi wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dkt Bilinith Mahenge, Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu Prof Faustin
Kamuzora pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dk Leonard Maboko.
No comments:
Post a Comment