Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Awamu ya Pili ya Programu ya
Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis
Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018. Anayemshikia kitabu hicho
ya Programu ni Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba. Picha na Ikulu
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassa Mwinyi akionyesha nakala ya kitabu
cha Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya
Rais Dkt. John Magufuli kuizindua programu hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar
es salaam leo Juni 4, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo
na Maji Mhe. Mahamoud Hassan Mgimwa nakala ya kitabu cha Awamu ya Pili
ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika
ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo
Juni 4, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael
Tihela Chibunda nakala ya kitabu cha Awamu ya Pili ya Programu ya
Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa katika ukumbi wa
mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4,
2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF) Dkt. Reginald mengi
nakala ya kitabu cha Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo
(ASDP ll) baada ya kukabidhiwa katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu
Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.
No comments:
Post a Comment