HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 22, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa  TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo  Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali  toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa  TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo  Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za mawasiliano za kampuni ya TTCL nchi nzima baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 toka kwa viongozi wa TTCL  Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo  Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation Bw. Waziri Kindamba baada ya kupokea  gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali  toka kwa Shirika hilo na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kupokea  gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali  toka kwa viongozi wa Kampuni ya TTCL na kuzindua huduma za Shirika  hilo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages