Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc,
wakishiriki kufunga vitanda na vifaa mbalimbali
vilivyotolewa msaada na Taasisi ya
Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili
ya matumizi ya kitengo cha afya ya mama
na mtoto katika Hospitali ya mkoa wa
Temeke jijini Dar es Salaam leo, vifaa
vilivyokabidhiwa katika Hospitali hiyo ni
vitanda vya Gynecological unit 2, vitanda vya uchunguzi 5, mapazia ya
wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na taa za uchunguzi 10.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc,
wakishiriki kufunga vifaa
mbalimbali vilivyotolewa msaada na Taasisi ya Vodacom Tanzania
Foundation kwa ajili ya matumizi ya kitengo cha afya ya mama na
mtoto katika Hospitali ya mkoa wa Temeke
jijini Dar es Salaam leo
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano
wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akiongea wakati wa kukabidhi
msaada wa vifaa vya afya ya mama na
mtoto katika Hospitali ya mkoa wa Temeke
jijini Dar es Salaam leo, vifaa
vilivyokabidhiwa ni vitanda vya
Gynecological unit 2, vitanda vya
uchunguzi 5, mapazia ya wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na taa za
uchunguzi
10, wa pili Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke Dkt. Amani
Malima na Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Dkt Projest
Mutasingwa aliyemwakilisha mkuu wa Wilaya.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom
Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto ), akimkabidhi moja
ya taa kati ya taa 10 Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Projest Mutasigwa
(kulia) wakati walipokwenda kutoa msaada
wa vifaa vya afya ya mama na mtoto
katika Hospitali ya Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam. Wapili Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt.
Amani Malima.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom
Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto ) akimkabidhi kitanda cha kujifungulia, Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Projest Mutasingwa
(kulia) wakati walipokwenda kutoa msaada
wa vifaa vya afya ya mama na mtoto
katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam, vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na vitanda vya Gynecological unit
2, vitanda vya uchunguzi 5, mapazia ya wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na
taa za uchunguzi 10. Takriban wanawake 11,000 wanapoteza maisha yao kila mwaka
kutokana na matatizo ya kujifungua, asilimia 80 ya vifo hivi vinaweza
kuzuilika. Wanawake na watoto wachanga wanakufa kutokana na uhaba wa huduma
bora za afya. Inakadiriwa kila mwanamke
mmoja katika ya wanawake 38 nchini yuko
hatarini kupoteza maisha. Wapili Kushoto ni mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo
Dkt. Amani Malima.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, pamoja na wauguzi wa hospitali ya mkoa wa
Temeke wakiwa na vifaa mbalimbali vilivyo tolewa msaada na Taasisi ya Vodacom Tanzania
Foundation kwa ajili ya matumizi ya kitengo cha afya ya mama na
mtoto katika Hospitali ya mkoa wa Temeke
jijini Dar es Salaam leo, vifaa
vilivyokabidhiwa katika Hospitali hiyo ni
vitanda vya Gynecological unit 2, vitanda vya uchunguzi 5, mapazia ya
wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na taa za uchunguzi 10.Takriban wanawake
11,000 wanapoteza maisha yao kila mwaka kutokana na matatizo ya kujifungua
asilimia 80 ya vifo hivi vinaweza kuzuilika. Wanawake na watoto wachanga
wanakufa kutokana na uhaba wa huduma bora za afya. Inakadiriwa kuwa mwanamke mmoja kati ya wanawake 38 nchini yuko hatarini kupoteza maisha wakati wa ujauzito
au kujifungua na watoto wachanga wapatao 48,000 wanafariki idadi hii ikiwa ya kumi duniani.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc,
wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Jacquiline Materu mara baada ya kukabidhi msaada na vifaa mbalimbali
afya ya mama na mtoto katika
Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam leo,
Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc,
wakishiriki kupanga vitanda na vifaa
mbalimbali vilivyotolewa msaada na Taasisi ya Vodacom Tanzania
Foundation kwa ajili ya matumizi ya kitengo cha afya ya mama na
mtoto katika Hospitali ya mkoa wa Temeke
jijini Dar es Salaam leo
No comments:
Post a Comment