HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 30, 2018

IGP AKUTANA NA VIONGOZI RSA

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipokea fulana yenye ujumbe wa kuhamasisha juhudi za usalama barabarani  kutoka kwa Mwenyekiti wa Mabalozi wa Usalama barabarani (RSA)  Bw. John Seka wakati alipofika kujitambulisha ofisini kwake Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam akiwa na Viongozi wengine wa RSA. (Picha na Jeshi la Polisi ).

No comments:

Post a Comment

Pages