HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 14, 2018

KANGI LUGOLA ATEMBELEA KIKUU CHA UZALISJHAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA KIBAHA, MKOANI PWANI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swali, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho, Alphonce Malibiche (kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa, kilichopo Kibaha, Mkoani Pwani.Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Andrew Masawe. 
 Mkurugenzi  Mkuu wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho, Alphonce  Malibiche, akifafanua jambo wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia), kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa, kilichopo Kibaha, Mkoani Pwani.Wakwanza  kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Andrew Masawe.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Andrew Masawe  wakati wa ziara yake ya kikazi  kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa, kilichopo Kibaha, Mkoani Pwani.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akisalimiana na watumishi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), baada ya kuwasili  Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa, kilichopo Kibaha, mkoani Pwani.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida), baada ya kutembelea Kituo Kikuu cha Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,kilichopo Kibaha,Mkoani Pwani.Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Andrew Masawe. 
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Pages