Baadhi ya wanafunzi pamoja na wazazi wakiwa katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe kupata taarifa mbalimbali za kujiunga na kozi zinazotolewa na chuo hicho wakati wa maonyesho ya 13
ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe, Frank Kilima (kulia), akimuelekeza namna
ya kujiunga na chuo hicho kwa kwa njia ya mtandao mmoja wa wanafunzi
waliofika katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, wakati wa Maonyesho ya 13
ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi mbalimbali wakisoma taarifa muhimu kuhusu Chuo Kikuu Mzumbe.
Kupata taarifa za kujiunga na chuo.
Udahili ukiendelea.
Wanafunzi wakituma maombi ya kujiunga na Chuo Kikuu Mzumbe.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe, Frank Kilima (kulia), akimuelekeza namna
ya kufanya udahili kwa njia ya mtandao mmoja wa wanafunzi
waliofika katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, wakati wa Maonyesho ya 13
ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kupata ufafanuzi wa kufanya udahili kwa njia ya mtandao.
Ofisa Tehama wa Chuo Kikuu Mzumbe, Joseph Kiphizi, akimuelekeza mmoja wa wanafunzi waliofika katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe namna ya kufanya udahili kwa njia ya mtandao.
Ofisa
Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Fatna Mfalingundi, akitoa maelezo kwa
mmoja wa wanafunzi waliofika katika Maonyesho ya Elimu ya Juu, Sayansi
na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya machapisho.
Mkurugenzi
wa Habari na Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Rainfrida Ngatunga,
akiwapa maelezo baadhi ya wanafunzi kuhusu kozi zinazotolewa na Chuo
Kikuu Mzumbe.
Ofisa Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Fatna Mfalingundi, akitoa maelezo kwa mmoja wa wanafunzi waliofika katika Maonyesho ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa Udahili wa Chuo Kikuu Mzumbe, John Jorojick, akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi waliofika katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe kuhusu namna ya kujiunga na chuo hicho.
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Rainfrida Ngatunga, akiwapa maelezo baadhi ya wanafunzi kuhusu kozi zinazotolewa na Chuo Kikuu Mzumbe.
No comments:
Post a Comment