HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 13, 2018

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BARAZA JIPYA LA WADHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kwenye kikao pamoja na Wajumbe wa Baraza jipya la wadhamini wa Chama cha Mapinduzi CCM Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Rais John Magufuli akizungumza na mmoja wa wajumbe wa Baraza jipya la wadhamini wa CCM, Hassan Mzee ambaye ni mmoja kati ya watu waliochanganya udongo wakati Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuunda nchi moja ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages