HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

July 05, 2018

NSSF WASHINDI WA JUMLA MAONYESHO YA SABASABA 2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo ya ushindi wa jumla Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Khyarara, katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ‘sabasaba’ yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof Godius Khyarara, akiwa ameshika tuzo aliyokabidhiwa na Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Khyarara, katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ‘sabasaba’ yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao na cheti Mkurugenzi Mkuu NSSF, Prof Godius Khyarara. 
 Ofisa Uhusiano wa NSSF, Angela Msangi (kushoto), akiwa na Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi (TRA), Richard Kayombo (wa pili kushoto).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao na cheti Mkurugenzi Mkuu NSSF, Prof Godius Khyarara (kushoto) akiwa na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Salim Kimaro (wa pili kushoto). 
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao na cheti Mkurugenzi Mkuu NSSF, Prof Godius Khyarara (kushoto) akiwa na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Salim Kimaro (wa pili kushoto).
 Wafanyakazi wa NSSF wakishangilia huku wakiwa na tuzo walizopata katika Maonyesho ya Sabasaba.
 Wafanyakazi wa NSSF wakishangilia huku wakiwa na tuzo walizopata katika Maonyesho ya Sabasaba.
 Waziri cha Kilimo, Charles Tzeba (katikati) akifafanuaja jambo alipotembelea Banda la NSSF katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Kilimo akiwa ndani ya banda la NSSF.
Mkurugenzi Mkuu NSSF, Prof Godius Khyarara (kushoto) akitoa akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Kilimo, Charles Tzeba (kulia), wa pili kulia ni Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Salim Kimaro (wa pili kushoto).
Waziri wa Kilimo, Charles Tzeba (katikati), akiwasikiliza kwa makini Ofisa Matekelezo wa NSSF, Hafidh Yahya Ally (kushoto) na Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Salim Kimaro (kulia), alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' 
Mkurugenzi Mkuu NSSF, Prof Godius Khyarara (kulia) akiagana na Waziri wa Kilimo, Charles Tzeba, baada ya kutembelea banda la NSSF.
Ofisa Uhusiano na Masoko wa NSSF, Angela Msangi, akimpa zawadi Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, alipotembelea banda la NSSF.
  Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na NSSF kutoka kwa Kaimu Meneja Masoko na Uhusiano wa NSSF, Salim Khalfan, alipotembelea banda la shirika hilo katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam
 Maofisa wa NSSF wakiwa katika banda lao.
 Picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wa NSSF wakiwa na furaha ya kupata tuzo tatu katika maonyesho ya Sabasaba.
 Ni furaha tupu kwa wafanyakazi wa NSSF baada ya kupokea tuzo tatu katika maonyesho ya Sabasaba.
 Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wa NSSF wakiwa na furaha baada kuwa washindi wa jumla katika Maonyesho ya Sabasaba.
 Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Salim Kimaro, akizungumza baada ya kupata tuzo tatu katika Maonyesho ya Sabasaba.
Mkurugenzi Mkuu NSSF, Prof Godius Khyarara, akiwashukuru wafanyakazi wa NSSF kwa kufanikisha kupata tuzo tatu ikiwemo ya ushindi wa jumla katika Maonyesho ya Sabasaba.

No comments:

Post a Comment

Pages