HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 11, 2018

SIMBA YATINGA FAINALI YA KAGAME, YAICHAPA JKU 1-0

Mshambuliaji wa Simba, Mohamed Rashid, akimtoka kipa wa JKU katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Simba ilishinda 1-0 kwa matokeo hayo Simba itapambana na AZAM FC katika mchezo wa Fainali itakayofanyika Julai 13. (Picha na Said Powa).
 Wachezaji wa Simba wakilishambulia lango la timu ya Jeshi la Kujenga Uchumi la Zanzibar (JKU) kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Simba, Mohamed Rashid (katikati), akiufuata mpira juu wakati wa mchezo Nusu Fainali ya michuano ya ECAFA Kagame CUP 2018, dhidi ya timu ya Jeshi la Kujenga Uchumi la Zanzibar (JKU). (Picha na Said Powa)
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofugwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Meddie Kagere (aliyekaa chini), kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Michuano ya CECAFA Kagame CUP 2018, dhidi ya JKU ya Zanzibar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages