Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akielekea kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea
Kutako tayari kwa safari ya kurudi Tanzania mara baada ya kumalizika kwa
Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika (SADC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Elimu ya Juu , Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi muda
mfupi kabla ya kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Hosea Kutako tayari kwa safari ya kurudi Tanzania mara baada ya
kumalizika kwa Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya
Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiaga Viongozi waliomsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Hosea Kutako tayari kwa safari ya kurudi Tanzania mara baada ya
kumalizika kwa Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya
Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) . (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais).
No comments:
Post a Comment