Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst)
Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na mjane wa aliyekuwa Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Dkt. Omar Ali Juma alipomtembelea
nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst)
Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na familia ya aliyekuwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Dkt. Omar Ali Juma
alipowatembelea nyumbani kwao, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst)
Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiagana na mjane wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Marehemu Dkt. Omar Ali Juma alipomtembelea nyumbani kwake, jijini
Dar es Salaam. (Picha na Mary Mwakapenda, OR-MUUUB)
No comments:
Post a Comment