HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 19, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA

 Picha mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanakijiji wa Rubambagwe plot (Chato) wakati alipokwenda kutoa pole kwenye msiba wa Patricia Tibengana Mazigo 75 aliyefariki juzi tarehe 16-8-2018 Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

Pages