Mkuu wa Mkoa Tanga Martin Shigella akizungumza na waombolezaji katika ghafla ya kumuombea Dua aliyekuwa Msaani wa filamu na maigizo Nchini Amri Athuman almaarufu King majuto nyumbani kwake Donge kabla ya kupelekwa Kiruku nje kidogo ya Jiji kwa ajili ya mazishi. (Picha na Mbaruku Yusuph).
maelfu ya wananchi Jijini Tanga na nje ya Jiji wakiwa wameubeba mwili wa aliyekuwa Msaani wa filamu na maigizo Nchini Amri Athuman almaarufu King majuto tayari kwa ajili ya kuupeleka katika masjid Hudaa ili uswaliwe na kupelekwa kiruku kwa ajili ya mazishi.
No comments:
Post a Comment