Mshambuliaji wa Mtibwa Salum Kihimbwa akijaribu kupiga mpira mbele
ya mabeki wa Yanga, Gadiel Michael (kushoto) na Andrew Vicent kulia katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Agosti 23, 2018. Yanga ilishinda 2-1. (Picha na Said Powa).
Mshambuliaji wa Mtibwa Salum Kihimbwa akijaribu kupiga mpira mbele
ya mabeki wa Yanga, Gadiel Michael (kushoto) na Andrew Vicent kulia.
Mshambuliaji
wa Yanga, Heritier Makambo (kushoto), akipongezwa na mchezaji mwenzake
Deus Kaseke mara baada ya kufunga bao la kwanza katika mchezo wa Ligi
Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa.
No comments:
Post a Comment