HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 24, 2018

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA . JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa China Nchini Tanzani Bibi Wang Ke .nakufanya naye mazungumzo ya kikazi katika ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24/2017.  PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.

No comments:

Post a Comment

Pages