HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 24, 2018

UGANDA YAICHAPA 3- 1 SERENGETI BOYS KATIKA MASHINDANO YA VIJANA

 Mashabiki wa soka wakishangilia wakati wa mchezo wa nusu fainali ya michuano inayotambulika na Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kati ya timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ na Uganda. Uganda ilishinda 3-1. (Picha na Said Powa).
 Mfungaji wa pekee la Serengeti Boys, Edson Msilakandi akiwatoka mabeki wa Uganda.

 Kapteni wa Serengeti Boys akimpiga chenga beki wa Uganda, Ekellot Ibrahim. 

No comments:

Post a Comment

Pages