HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 28, 2018

SIMBA YAIPAPASA RUVU SHOOTING

 Wachezaji wa Simba wakishangilia bao kwanza lililofungwa mshambuliaji wa timhi hiyo, Emmanuel Okwi dhidi yaRuvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Said Powa).
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, akishangilia bao kwanza aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting.


Simba leo amenguruma ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambako mabingwa watetezi Simba walikuwa wakiumana na Ruvu Shooting ya Pwani.

Wakati Simba walishuka dimbani wakiwa na alama 20 walizopata katika mechi tisa wakiwa katika nafasi ya tatu ya msimamo, Ruvu Shooting walikuwa nafasi ya 12 wakiwa na jumla ya pointi 13 baada ya mechi 10.
Na hadi tunaelekea mitamboni, tayari Mnyama alikuwa amewararua mara nne vijana wa Masau Bwire, kwa mabao ya Emmanuel Okwi na Meddie Kagere.

No comments:

Post a Comment

Pages