HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 13, 2018

SIMA ATOA SIKU 14 KWA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI KIGAMBONI KUSHUGHULIKA NA KUMPA MAJIBU KUHUSU KIINI CHA MGOGO WA ARTHI KATI YA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA 0WA DAR ES SALAAM NA MWEKEZAJI ANAYEDAIWA KUMILIKISHWA ENEO 'KIMAGUMASHI'


Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, ametoa siku 14 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Saraha Msafiri na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Wilaya hiyo Ng'wilabuzu Ludigija kushughulika na kumpatia majibu ya kiini cha mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo kata ya Vijibweni, Kigamboni, Dar es Salaam. Pichani, Sima (watatu kushoto), akimsikiliza mkazi wa Vijibweni Isaya Mloka aliyekuwa akimpa maelezo kuhusu anavyolifahamu eneo hilo, alipolitembelea jana. Wanne kushoto ni Mkuu huyo wa wilaya ya Kigamboni na kulia ni Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwafongo.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, kiuliza kuhusu mipaka ilipo, alipokagua eneo la Umoja wa Wazazi Tanzania-Jumuiya ya CCM, lilipo Kigamboni Dar es Salaam, alipokagua eneo hilo leo
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kigamboni Henri Chaula akizungumza wakati Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, alipozungumza na viongozi wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Kigamboni, leo.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima,akizungumza na viongozi wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Kigamboni, leo
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, akikagua mipaka ya eneo la Umoja wa Wazazi Tanzania-Jumuiya ya CCM, lilipo Kigamboni Dar es Salaam, alipokagua eneo hilo leo
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, akikagua mipaka ya eneo la Umoja wa Wazazi Tanzania-Jumuiya ya CCM, lilipo Kigamboni Dar es Salaam, alipokagua eneo hilo leo
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwafongo, kuhusu eneo lenye mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alipokagua eneo hilo leo
Mwakilishi wa Mwekezaji Raia wa Korea, akitoa maelezo kuhusu eneo lenye mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akiwa na mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akiuliza jambo wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwafongo, akimpa maelezo Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima  wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwafongo, akimpa maelezo Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima  wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima  akijadili jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo mkoa wa Dar es Salaam, Frank Kamugisha, wakati wa kikao chake na viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kigamboni kutoka Baraza la Wazazi, Kamati ya siasa. Sekretarieti na madiwani wa kata za Wilaya baada ya kukagua eneo lenye mgogoro huo, katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam, baada ya kukagua eneo lenye mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam na mwekezaji raia wa Korea, anayedaiwa kumilikishwa 'kimagumashi' eneo la Jumuiya hiyo lililopo katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Mwafongo akijadili jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri wakati wa kikao hicho
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Sarah Msafiri akizungumza  wakati wa kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigamboni Henry Chaula akizungumza wakati wa kikao hicho
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Frank akizungumza wakati wa kikao hicho
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akitoa maelekezo wakati akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kigamboni kutoka Baraza la Wazazi, Kamati ya siasa. Sekretarieti na madiwani wa kata za Wilaya hiyo,  baada ya kukagua eneo lenye mgogoro huo, katika kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaa.. (PICHA ZOTYE NA BASHIR NKOROMO) -- Best regards Bashir Nkoromo Blogger & Photojournalist UHURU PUBLICATIONS LTD Dar es Salaam, TANZANIA Cell: +255 712 498008, +255 789 498008, BLOG: theNkoromo Blog Email: nkoromo@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Pages