HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 23, 2019

DAWASA YAMTUA NDOO YA MAJI MAMA MARIA NYERERE

Mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Makongoro Nyerere (kulia) akiwakaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Cyprian Luhemeja (kulia) pamoja na wageni wengine waliokuwa wameambatana nao kukabidhi mradi wa tenki la maji lililokarabatiwa na DAWASA. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Kaimu Mkurugenzi wa miradi DAWASA Lydia Ndibalema akitoa maelezo machache kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (wa pili toka kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Cyprian Luhemeja (kwanza kushoto) na Mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Makongoro Nyerere pamoja wageni waliohudhuria hafla ya kukabidhi tenki la maji nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere lililokarabatiwa na DAWASA hivi karibuni. Kaimu Mkurugenzi wa miradi DAWASA Lydia Ndibalema akitoa maelezo machache kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (wa pili toka kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Cyprian Luhemeja (kwanza kushoto) na Mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Makongoro Nyerere pamoja wageni waliohudhuria hafla ya kukabidhi tenki la maji nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere lililokarabatiwa na DAWASA hivi karibuni. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Cyprian Luhemeja akitoa maelezo machache kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange na wageni waalikwa. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA Neli Msuya akitoa ufafanuzi wa mradi huo. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Cyprian Luhemeja akitoa maelezo juu ya mradi huo mbele ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (wa pili toka kushoto) na Mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Makongoro Nyerere pamoja wageni waliohudhuria hafla ya kukabidhi tenki la maji nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere lililokarabatiwa na DAWASA hivi karibuni. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (Katikati), akizungumza mbele ya wanahabari juu ya mradi wa ukarabati wa tenki la maji alilokabidhiwa Mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Makongoro Nyerere (kushoto). Pembeni ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Cyprian Luhemeja (kwanza kulia). Mtoto wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Makongoro Nyerere akitoa shukrani zake mbele ya wageni waliohudhuria hafla ya kukabidhi tenki la maji nyumbani kwa Hayati Mwalimu Nyerere lililokarabatiwa na DAWASA hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Pages