m2 na m1: Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wadau wa Madini baada ya kuhudhuria na kuhutubia Mkutano Mkuu wa Kisekta
wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne JanuarI 22, 2019

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa
Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa
Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano Mkuu wa
Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha mjadala na
wadau wa madini nchini wakati wa Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya
Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini
Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri wa Madini Mhe.
Doto Biteko.
Mwenyekiti wa Umoja
wa Mabenki Tanzania (TBA) Na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.
Abdulmajid Nsekela akieleza mikakati ya umoja huo wakati wa Mkutano
Mkuu wa Kisekta wa Wizara ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22,
2019.
Rais
wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini (FEMATA) Bw.
John Bina akisoma risala yake katika Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Wizara
ya Madini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 22, 2019. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment