Maofisa Mawasiliano Serikalini wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa
zikiwasilishwa katika kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kinachoendelea katika ukumbi wa Benki
kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza. Picha zote na
Maelezo, MWANZA.
Viongozi wa Chama cha Maofisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) wakiongoza Mkutano
wa wanachamana hao wa mwaka katika kikao
kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa
Benki kuu ya Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.
Mwenyekiti
wa Chama cha Maofisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO), Paschal Shelutete,
akizungumza na Maafisa hao(hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha 15 cha
Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Benki kuu ya
Tanzania (BOT) leo Jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali
Dkt.Hassan Habasi akichangia jambo wakati
wa kikao kazi cha 15 cha Maofisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea
katika ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT)
leo Jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment