Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiongea na baadhi ya wazee waliokuwa wakaazi wa nyumba za
Magomeni Kota jijini Dar es salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kuona
maendeleo ya ujenzi wa nyumba za ghorofa alizoziwekea jiwe la msingi Aprili 15, 2017 ambapo mpaka sasa
ujenzi wake umesimama kwa sababu ambazo hazikuweza kujulikana mara moja. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiongea na baadhi ya wazee waliokuwa wakaazi wa nyumba za
Magomeni Kota jijini Dar es salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kuona
maendeleo ya ujenzi wa nyumba za ghorofa alizoziwekea jiwe la msingi Aprili 15, 2017 ambapo mpaka sasa
ujenzi wake umesimama kwa sababu ambazo hazikuweza kujulikana mara moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za
askari Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alikofanya ziara ya kushtukiza
leo Jumamosi Machi 16, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiangalia jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za ghorofa za Magomeni
Kota jijini Dar es salaam alizoziwekea mnamo Aprili 15, 2017 ambapo mpaka sasa ujenzi wake
umesimama alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea na wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) baada ya
kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari Magereza huko Ukonga jijini Dar
es salaam alikofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimwangalia Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Julius Ntembala akipima nguzo wakati akikagua
maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari
Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alipofanya ziara ya kushtukiza leo
Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za
askari Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alikofanya ziara ya kushtukiza
leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea na wana familia ya moja ya nyumba za askari Magereza huko
Ukonga jijini Dar es salaam alikotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba
za askari hao alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za ghorofa za Magomeni
Kota jijini Dar es salaam alizoziwekea jiwe
la msingi Aprili 15, 2017 wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo

No comments:
Post a Comment