HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 10, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JUMAPILI MACHI 10, 2019

Rais Dk. John Magufuli akiongoza leo kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages