Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza
Meneja wa TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Edward Mlowo (katikati)
walipomtembelea leo tarehe 14 Machi 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia
ni Afisa Mikopo TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Hamis Salehe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisisitiza
jambo wakati wa mazungumzo na Meneja wa TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Edward
Mlowo (katikati) alipomtembelea leo tarehe 14 Machi 2019 Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mikopo TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Hamis
Salehe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) katika
picha ya pamoja na Meneja wa TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Edward Mlowo (kulia),
Afisa Mikopo TPB Benki Tawi la Dodoma, Ndg. Hamis Salehe (kushoto) walipomtembelea
leo tarehe 14 Machi 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE).
No comments:
Post a Comment