HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 09, 2019

KUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA

  Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu (kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019 katikati ni Mbunge wa Viti Maalum Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages