RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika
futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar
(SUZA)kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib
Hassan. (Picha na Ikulu).

Hassan.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika ukumbi wa SUZA Tunguu
Mkoa wa Kusini katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.
MKE wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa
wa Kusini Unguja katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, iliofanyika
ukumbi wa Idara ya Uhamiaji Tunguu.

WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja akitowa neno la shukrani baada ya kumaliza hafla hiyo ya futari
iliofanyika ukumbi wa SUZA Tunguu Zanzibar.
MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan, akitowa
neno la shukrani kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, iliofanyika katika ukumbi wa SUZA Tunguu Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa
hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini
Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akiitikia dua ikisoma na Sheikh Abubakary Ally, baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein, kwa Wananchi wa Mkoa wa
Kusini Unguja,iliofanyika katika ukumbi wa SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini
Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja
Mhe.Kitwana
Idrisa Mustafa, wakifurahia jambo, wakiwa katika viwanja vya Chuo Kikuu
cha SUZA Tunguu, kushoto Mwakilishi wa Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said
na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan na kulia
Sheikh Abubakary Ally.
No comments:
Post a Comment