RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kabi (hayuko pichani), baada ya kumaliza mazunguymzo na
Ujumbe wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Saalam
ukiongonzwa na Mkurugenzi Mkuu Sheikh.Nurdin Muhammed Ahmed Kishki
kulia Sheikh Suleiman Khamis Babib na Mussa Rajab Mushi, wakiwa katika
ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Al -Hikma
Foundation Zanzibar, Sheikh Omar Hussein Mussa, akitowa neno la shukrani
baada ya kumaliza mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo
8-6-2019, walipofika kumsalimia Rais wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Al - Hikma Foundation
ya Jijini Dar es Salaam iikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo
kulia Nurdin Muhammed Ahmed Kishki, Sheikh Suleiman Khamis Habib, Ndg.
Mussa Rajab Mushi na Omar Hussein Mussa., Mwenyekiti wa Al -Hikma
Foundation Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Al -Hikma
Foundation Zanzibar, Sheikh Omar Hussein Mussa, akitoa neno la shukrani
baada ya kumaliza mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo
8-6-2019, walipofika kumsalimia Rais wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk. Ali
Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya Al
-Hikma Foundation ya Jijini Dar es Salaam waliokaa kutoka kushoto
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Sheikh Nurdin Kishki, Sheikh. Suleiman
Khamis Habib na Sheikh.Omar Hussein Mussa na kulia Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, Katibu Ofisi ya Mufti Mkuu Sheikh
Fadhil Soraga na Mussa Rajab Mushi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akiagana na Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Taasisi ya
Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Salaam Sheikh Nurdin Muhammed
Ahmed Kishki, alipofika IKulu Zanzibar kwa mazungumzo leo
8-6-2019. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment