Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt. Hamisi
Kigwangalla akifungua hafla ya utoaji wa Tuzo za Waongoza Watalii nchini
(Tanzania Tour Guides Awards 2019) kwa mwaka ,jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Kemilembe
Walter akizungumza kwa niaba ya kamati hiyo wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo
kwa waongoza watalii kwa mwaka 2019, jijini Arusha.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akimkabidhi Tuzo ya mwongoza Watalii Bora
wa muda mrefu Bi. Mary Mushi kwa kufanya kazi ya kuongoza Watalii Mlima Kilimanjaro tangu
mwaka 1979.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akimkabidhi tuzo ya
Mwongoza Watalii Bora upande wa Wanaume, Bw. Athuman Njiku, wakati wa hafla ya
utoaji wa tuzo kwa waongoza watalii jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Kemilembe
Walter akimkabidhi Bi. Alisya Sanga Tuzo ya Mwongoza Watalii Bora kwa niaba ya
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa hafla ya Utoaji
wa Tuzo kwa Mwongoza watalii Bora wanawake mwaka 2019, jijini Arusha.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii na Mwenyekiti wa
Kamati hiyo kwa upande wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Peter Msigwa,
kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akikabidhi
tuzo kwa mshindi wa Waongoza Watalii Bora wa muda mrefu kwa upande wa wanaume.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili, Utalii na Mbunge wa Nungwi -
Zanzibar, Mhe. Yusuf Haji Khamis kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii
Dkt. Hamisi Kigwangalla, akimkabidhi Tuzo ya Mwongoza Watalii Bora Bw. Gaudence
Phesto kutoka kampuni ya Kuongoza watalii ya Leopord aliyeweka rekodi ya
kupanda na kushuka Mlima Kilimanjaro kwa kutumia muda wa saa 8.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kushoto) akiwapongeza Washindi wa Tuzo ya Waongoza Watalii
Bora kwa mwaka 2019 kwa upande wa Wapagazi Wanawake. Wa pili kutoka kulia ni
Jaji Mkuu wa mashindano ya Tuzo hizo Bw. Mozes Njowe kutoka Chuo cha Usimamizi
wa Wanyamapori MWEKA.
Majaji
walioshiriki kuteua washindi wa Tuzo za waongoza Watalii kwa mwaka 2019 wakiwa
katika picha ya pamoja na Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii na Viongozi wa Wizara ya
Maliasili na Utalii mara baada ya utoaji wa tuzo hizo jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment