HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 19, 2019

BENKI YA DUNIA YAZINDUA RIPOTI YA 12 KUHUSU HALI YA UCHUMI TANZANIA

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird, akitoa neno la utangulizi kabla ya uzinduzi wa ripoti ya 12 Benki ya Dunia kuhusu hali ya uchumi Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam. 
 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya 12 ya Benki ya Dunia kuhusu hali ya uchumi Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird, akimpongeza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile, akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya 12 ya Benki ya Dunia ya hali ya uchumi Tanzania.


Meza Kuu.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Treknolojia, Dk. Ave Maria Semakafu, akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo.
 Baadhi ya washiriki wa majadiliano kuhusu hali ya uchumi Tanzania.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Treknolojia, Dk. Ave Maria Semakafu, akizungumzia sekta ya elimu wakati wa uzinduzi wa ripoti ya 12 ya Benki ya Dunia ya hali ya uchumi Tanzania.
Mchumi kutoka Benki ya Dunia, Quentin Wodon (kushoto), akizungumza katika majadiliano kuhusu hali ya uchumi Tanzania.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha,  akichangia katika sekta ya elimu wakati wa uzinduzi wa ripoti ya 12 ya Benki ya Dunia kuhusu hali ya uchumi Tanzania.
Baadhi ya washiriki.
 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, akiagana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird, baada ya uzinduzi wa ripoti ya 12 ya Benki ya Dunia kuhusu hali ya uchumi Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages