Mwenyekiti Kamati ya Fedha na Mjumbe wa Bodi ya TWCC, Rose Romanus, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa waonyeshaji bora katika banda la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania kwenye Maonesho ya Sabasaba.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, akitoa hotuba yake katika banda la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kwenye Maonesho ya Sabasaba kabla ya kutoa tuzo kwa waonyeshaji bora.
Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, akitoa hotuba yake katika banda la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kwenye Maonesho ya Sabasaba kabla ya kutoa vyeti kwa waoneshaji bora.
Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, akitoa hotuba yake katika banda la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kwenye Maonesho ya Sabasaba kabla ya kutoa tuzo kwa waoneshaji bora.
Baadhi ya washiriki.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Gloria Kaale, akizungumza na wanawake wafanyabiashara.
Mshiriki akipokea cheti baada ya kushinda katika banda la TWCC.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika hafla hiyo.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, akiangalia bidhaa mbalimbali katika banda la Roseline Product. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Roseline Product, Fatma Waziri.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, akiangalia mikoba ya akinamama alipotembelea banda la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), ambapo Benki ya CRDB ilidhamini wafanyabiashara hao kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’. Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha KCM Handcraft, Carren Charles.
Kuangalia mikoba ya akinamama.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, akisaini kitabu cha wageni alipofika katika banda la CRDB.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja katika banda la la Benki ya CRDB.
Shanael Lema (kulia), akimkabidhi unga safi wa dona.
Mgeni rasmi akiwa katika banda la wafanyabiashara wa korosho kutoka Tandahimba mkoani Mtwara.
Washiriki wakiwa katika hafla hiyo.
Mgeni rasmi ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, akitoa cheti kwa waonyeshaji bora katika banda la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kwenye Maonesho ya Sabasaba.

Mgeni rasmi akiangalia bidhaa zinazotengenezwa na wajasiriamali katika banda la TWCC.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TWCC.

Picha ya pamoja.

Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB PLC imetoa mikopo yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa wajasiriamali zaidi ya 1500 kuanzia mwaka 2012 hadi sasa katika sekta ya kilimo, ujenzi, elimu na huduma za kijamii.
Hayo yalisemwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Farida Hamza, alipokuwa akitoa tuzo kwa waonyeshaji bora katika banda la taasisi ya TWCC katika uwanja wa sabasaba
Alisema hii ni mikopo maalumu kwa ajili ya wajasiliamali na mikopo hiyo ilitolewa kulingana na mahitaji na kiwango cha mtu mmoja ni hadi shilingi bilioni 2 kwa wakati mmoja.
Alisema Benki ya CRDB imekuwa na mahusiano mazuri na taasisi ya TWCC kwa kipindu kirefu.
"Tumekuwa tukishiriki sana kwa kutoa sponsor kila mwaka hasa katika maonyesho mbalimbali ndani na nje ya nchi." alisema.
Vile vile benki yetu imekuwa ikibuni bidhaa mbalimbali zinazosaidiaa wanawake kujikwamua kiuchumi.
Aliwaomba wanawake wajasiliamali ambao hawajafungua akaunti katika benki ya CRDB wafungue akaunti ili waweze kunufaika na huduma na fursa zinazotolewa na benki ya CRDB.
Alisema benki ya CRDB imejipanga kuwahudumia wanawake wajasiliamali wote kwa ujumla kwa kuenndesha programu mbalimbali zilizoelekezwa kwa wajasiliamali kwa muda mrefu sana tangu 2012.
" Wapo maofisa maalumu katika matawi yetu yote Tanzania nzima wa kushughulikia masuala ya wajasiliamali ikiwemo ushauri wa mikopo na biashara.
Pia kuna akaunt maalumu kwa wanawake itwayo ' Malkia account' kwa ajili ya kujiwekea akiba itakayokuwezesha kufanya mambo ya maendeleo katika biashara na familia yako.
" Unaweza kuanza kuweka shilingi 1700,2000 kwa siku na kuendelea." alisema..
Vile vile tunatoa mafunzo maalumu kwa wajasiliamali na mentorship programu kwa ajili ya wanawake wajasiliamalij .

No comments:
Post a Comment