Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Majaliwa Kassim Majaliwa
akipata maelezo ya huduma za kibenki kutoka kwa Afisa Mkuu wa Wateja
Wadogo na wa Kati – Filbert Mponzi alipotembelea kwenye banda la Benki
ya NMB kwenye Mkutano wa ALAT unaoendelea
jijini Mwanza. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Serikali cha
NMB – Vicky Bishubo (Kushoto).
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Majaliwa Kassim
Majaliwa akimweleza Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati wa NMB –
Filbert Mponzi jinsi Serikali inavyothamini Benki ya NMB kama Benki ya
Serikali alipotembelea banda la Benki ya NMB kwenye Mkutano wa ALAT
unaoendelea jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za
Serikali cha NMB – Vicky Bishubo na Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa –
Abraham Augustino.
No comments:
Post a Comment