Picha namba 1.Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker wakivuta
utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Kuzalisha umeme
Megawati 2115 katika eneo la mto Rufiji katikati ya Morogoro na Pwani.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri
wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi
mradi wa Ujenzi wa Kuzalisha umeme Megawati 2115 katika eneo la mto Rufiji
katikati ya Morogoro na Pwani.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia pamoja
na viongozi wengine mara baada ya tukio hilo la uwekaji wa Jiwe la Msingi.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama
Janeth Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati wa Misri Dkt.
Mohamed Shaker, Waziri wa Nishati Medard Kalemani pamoja na viongozi wengine
akisikiliza namna mradi wa Kuzalisha umeme Megawati 2115 katika eneo la mto
Rufiji utakavyokuwa ukifanya kazi mara baada ya kukamilika.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia michoro
ya ujenzi huo mkubwa wa kufua umeme.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Kuzalisha umeme Megawati 2115
katika eneo la mto Rufiji.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker wakati wakielekea kwenda kuweka
jiwe hilo la msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo
itakayotumika katika mradi huo mkubwa wa kufua umeme.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
eneo la bonde katika mto Rufiji mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi
huo wa umeme.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
eneo la bonde katika mto Rufiji mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi
huo wa umeme.
Eneo la mto
Rufiji ambalo litatumika katika ujenzi huo wa kufua umeme kama linavyoonekana.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika eneo la Mradi. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment