RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar akitokea Nchini Uingereza kwa ziara Maalum.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,, akisalimiana na Wananchi
waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
kumpokea akitokea nchini Uingereza kwa ziara Maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Zanzibar, alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar akitokea Nchini Uingereza, alipokuwa na ziara Maalum.
No comments:
Post a Comment