Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la
Butimba mkoani Mwanza.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la
Butimba mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika
Gereza Kuu la Butimba mara baada ya kuzungumza na wafungwa Mahabusu, pamoja na
Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Butimba mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakati akitokea
Gereza la Butimba.
Sehemu ya
Wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakimsikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
wakati alipokuwa akiwahutubia.
Sehemu ya
Wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakimsikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
wakati alipokuwa akiwahutubia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la
Butimba mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi fedha
mmoja wa Afisa Mwandamizi wa Magereza ACP Shaku Umuya Umba kwa ajili ya
kununulia ngombe watatu na magunia ya mchele 15 ili Wafungwa, Mahubusu na
Askari hao wapike na kula pamoja. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment