HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 28, 2019

CHUO KIKUU MZUMBE WATOA MAFUNZO KWA WADAU SEKTA AFYA

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, akitoa mada kuhusu uchumi wa afya wakati wa mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo washiriki juu ya uboreshaji wa mifumo ya ugavi kwenye sekta afya kwenye nchi zinazo endelea. Washiriki wa semina hiyo wametoka katika sekta ya umma, binafsi pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali hapa nchini na nje ya Tanzania. Semina hiyo inaendelea jijini Dar es Salaam na imefadhiliwa na taasisi ya Kuehne Foundation ya Uswiss. (Picha na Francis Dande).
 Washiriki wa mafunzo hayo.
 Washiriki.
Mshauri wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Tanzania, Bosco Mapunda akitoa mada.
 Bosco Mapunda akitoa mada.
 Mearibu wa mafunzo hayo, Dk. Omary, akizungumza katika mafunzo hayo.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi,akitoa mada.
Baadhi ya washiriki wa semina ya siku tatu ya kuwajengea uwezo juu ya uboreshaji wa mifumo ya ugavi kwenye sekta afya kwenye nchi zinazo endelea.
Mshauri wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Tanzania, Bosco Mapunda akitoa mada.

No comments:

Post a Comment

Pages