Dk. Eugenia Kafanabo kutoka Shule Kuu ya Elimu (School of Education) UDSM akitoa mafunzo ya jinsi ya kufundisha kwa nadharia, ambapo washiriki wa mafunzo hayo ni Wahadhiri na Wakufunzi kutoka Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia (CoET).
Dk. Eugenia Kafanabo kutoka Shule Kuu ya Elimu (School of Education) UDSM akitoa mafunzo ya jinsi ya kufundisha kwa nadharia.
Washiriki wakiwa katika mafunzo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya
Dk. Wadrine Maro, akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo.
Mratibu wa mafunzo ya Taaluma ya Ufundishaji na Ujifunzaji, Majili Killo.
Washiriki.
Baadhi ya washiriki.
Mratibu wa mafunzo ya Mfumo na Taaluma ya Ufundishaji na Ujifunzaji, Majili Killo, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo.
Dk. Wadrine Maro akitoa mafunzo.
Mwenyekiti wa washiriki wa mafunzo hayo, Joseph Sisala, akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake wakati wa kufunga mafunzo hayo.
Mwenyekiti wa washiriki wa mafunzo hayo, Joseph Sisala, akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake wakati wa kufunga mafunzo hayo.
Mshiriki wa mafunzo hayo akipokea cheti.
Mratibu wa
mafunzo ya mfumo na Taaluma ya Ufundishaji na Ujifunzaji, Majili Killo
(kushoto), akipokea cheti kutoka kwa Dk. Eugenia Kafanabo, wakati wa
kufunga mafunzo hayo yaliyowashirikisha Wahadhiri na Wakufunzi kutoka
Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia (CoET), yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam,
mwishoni mwa wiki. (Picha na Francis Dande).
Mwenyekiti wa Washiriki wa Mafunzo ya Taaluma ya Ufundishaji na Ujifunzaji, Joseph Sisala kutoka Idara ya Umeme (UDSM), akipokea cheti kutoka kwa Dk. Eugenia Kafanabo, wakati wa kufunga mafunzo hayo.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment