HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 03, 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA INAYOLIMA PAMBA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano  kwa njia ya video na Wakuu wa Mikoa inayolima Pamba ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mara, Kagera, Singida na Tabora akiwa jijini Dar es salaam, Agosti 3, 2019.  Mkutano huo pia ulimjumuisha, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, Maofisa kutoka Benki Kuu ya Tanzania pamoja  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ambaye pia ni Mwenyekiti wa wamiliki wa Mabenki, Abdulmajid Nsekela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages