Mtafiti Mwandamizi wa Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) Bw. Simon Mdoe, akitoa elimu juu ya madini ya urani kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nuru ya jijini Arusha, Mara wanafunzi hao walipotembelea Banda la TAEC katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya TASO vilivyopo Njiro jijini Arusha.
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari ya Nuru ya jijini Arusha, wakipeana elimu wenyewe
kwa wenyewe juu ya madhara yanayosababishwa na mionzi mara baada ya
kupata elimu ya kutosha kutoka kwa watumishi wa TAEC, walipotembelea
Banda la TAEC katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja
vya TASO vilivyopo Njiro jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment