Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji 'MO' akitambulishwa leo kwa mashabiki wa timu hiyo wakati wa tamasha la Wiki ya Simba ambapo timu hiyo inapambana na Power Dynamos ya Zambia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.(Picha na John Dande)
Kocha wa Simba Patrick Aussems akiwa na Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji.
Mashabiki wakiingia uwanjani kushuhudia pambano la Simba na Power Dynamos.
Shabiki.
Mashabiki wakiwasili uwanjani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya
Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day, Agosti 6, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza katika Simba Day kwenye uwanja Taifa jijini Dar es
Salaam, Agosti 6, 2019. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Kulia ni Mwekezaji
wa Simba, Mohammed Dewji na kushoto ni Rais wa TFF, Wallece Karia.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment