Chuo
Kikuu Cha Dar es Salaam Kinawakaribisha wananchi katika Banda la Chuo
Kikuu katika Maonesho ya 26 ya Wakulima Kanda ya Kusini Mkoani Lindi
katika Viwanja vya Ngongo. Karibu Mjifunze, Mfanye Udahili na Kujifunza
masuala ya Utafiki, Ufugaji na Kilimo.
Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo walipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), katika maonesho ya 26 ya Wakulima Kanda ya Kusini yanayofanyika mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment