Mshambuliaji wa Yanga, Juma Balinya, akiruka juu kuwania mpira na mchezaji wa
Kariobangi Sharks ya Kenya wakati wa mchezo kirafiki wa kimataifa
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo
zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Said Powa).
Kikosi cha Kariobang Sharks.
No comments:
Post a Comment