HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 04, 2019

TAIFA STARS YAING'OA HARAMBEE STARS MBIO ZA CHAN 2020

 Nahodha wa Taifa Stars, John Bocco, akimsaidia mchezaji mwenzake wakati wa mchezo wa kuwania Kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani (CHAN) uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi. Stars ilishinda kwa penalti 4-1. (Picha na Boiplus Media).
 Shabiki wa Yanga.
 Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hassan Dilunga, akimtoka mchezaji wa Kenya katika mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani (CHAN) uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi. (Picha na TFF).
Wachezaji wa Taifa Stars wakiimba wimbo wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

Pages