HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 01, 2019

DULLA MBABE ALIVYOMCHAKAZA MCHINA

Bondia Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ (kushoto), akimtupia makonde mpinzani wake Zulipikaer Maimaitiali katika pambano la kuwania ubingwa wa WBO Asian Pacific lililofanyika China, mwishoni mwa wiki. Pazi alishinda kwa TKO ya raundi ya tatu na kutwaa ubingwa huo. (Picha na Mtandao).

No comments:

Post a Comment

Pages