HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 10, 2019

MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE AKUTANA NA RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA KUMUOMBA MSAMAHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais John Magufuli akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Magufuli kufuatia tukio lililotokea miezi iliyopita. (Picha na Ikulu).
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akimshukuru Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari.
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akizungumza na
Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mbunge waMtama Nape Nnauye mara baada ya  mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages