HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 12, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AMTEUA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI KUWA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA

 Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Kamishna Diwani Athuman.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (DGIS) Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 12, 2019.

No comments:

Post a Comment

Pages